Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana.
Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl...
Casper the commuting cat killed by hit-and-run driver as he crossed the road to catch his daily lift
Last updated at 4:30 PM on 18th January 2010
A cat which became famous for catching...
Kwa wale wadau wa kujimwaga usiku ile Night Club maarufu iliyofungwa kwa ajili ya ukarabati na kupoteza mwelekeo itazinduliwa tena Jan 29,club hiyo ipo karibu na Legho bar na kwa hakika inapendeza...
4 Bed room House with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The rent is 550,000 Shillings per month.The Rent is negotiable. The house...
Gari inauzwa Escudo Nomade ya Dark Green imeingia Dar kutoka Japan Date 26/11/2009 inauzwa imesajiliwa T 675 BED kwa mawasiliano zaidi piga 0713623575 Bei Inaanzia Milioni 15 mpaka Milioni 14...
HAYATI MACHALO MAJIGE FAUSTIN, (SAMSON MUKANDYA) ENZI ZA UHAI WAKE
Familia ya Marehemu, Bw & Bibi, Aloycius Chokara, wa Sinza Mori Dar-es-salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa...
Mimi ni daktari wa mifugo mwenye degree ya veterinary medicine i.e. Bachellor in Veterinary Medicine (BVM), Nipo Dar-es-salaam. Ninatoa Huduma kwa wafugaji wa: Kuku na Ng'ombe ili kuzuia na kutibu...
Jamani watu wanasema hizi engine ni mbovu sana, lakini nadhani ni uelewamdogo wa jinsi ya kuzirepair kwani ni engine ngeni ukilinganisha na nyingine.
Kama kuna mtaalam aliyebobea ktk ishu za...
Wanajamii heshima kwenu.
Ninatafuta nyumba ya kupanga self-contained Dar Es Salaam, yenye vyumba vitatu vya kulala na iliyo kwenye sehemu yenye utulivu na usalama. Kwa kuwa suala lenyewe ni...
Laptop mpya kutoka ujerumani hard disk za laptop na desktop na web cameras na USB vinauzwa
Specification ni kama ifuatavyo:
LAPTOP-2
80 gb,window xp..dvd brunner.pentium M.. 39.6 cm , .jina ni...
Laptop mpya kutoka ujerumani hard disk za laptop na desktop na web cameras na USB vinauzwa
Specification ni kama ifuatavyo:
LAPTOP-2
80 gb,window xp..dvd brenner.pentium M.. 39.6 cm , .jina ni...
PROJECTORS AINA YA CLEARCO ZINAPATIKANA TOKA UK.
TAA ZAKE NI MASAA ELFU NANE(8000).KWAHIYO UNAWEZA KUNUNUA PROJECTOR TAYARI INA GROPE/BULB YENYEMASAA 8000(8000HRS) NA KUNUNUA GROPE/BULB PEKEE YA...
Juliana, dada wa kitanzania alifariki dunia usiku wa tar 31 Dec huko Oman.
Juliana ambae alikuwa akiishi Upanga amekuwa akiruka kama mfanyakazi wa ndege wa ndani wa kampuni ya atcl kabla ya...