School Plot for Sale (surveyed area) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

School Plot for Sale (surveyed area)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mwanaharakati2, Jan 6, 2011.

 1. m

  mwanaharakati2 Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Eneo kwa ajili ya matumizi ya shule linauzwa. Lina ukubwa wa
  2400 sq meters. Lipo Mwanagati wilaya ya Ilala. Mwanagati ni eneo
  Lenye viwanja 2000 vilivyopimwa ktk mradi wa viwanja elfu 20000. Kiwanja
  Kina hati na matumizi yake ni shule. Eneo ni tambarare, bei ni 40 milion.
  Kama una plan ya kujenga shule, this is the right place. Huhitaji kuprocess
  Vibali kwa ajili ya matumizi ya shule. If interested please call me through 0713123729.
  Hakuna udalali, hapa unadili na mwenye mali directly
   
Loading...