Nawatafuta hawa!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,154
9,353
Katika maisha haya tunayoelekea ya kupambana kurudisha heshma ya nchi! Nawakumbuka wapiganaji fulani tukiwa Tumainin Sekondari Kinampnda. !Hawa walikuwa ni watundu katkka kupinga mambo maovu ya uongozi wa shule!nakumbuka majina yao ni Maige ,Kephas,FRED NA Timothy INAWEZWKANA WAPO HUMU ,NIPENI TAARIFA ZAO!
 
kama wapo humu basi wamekusoma unajua tena uku watu wanaingia na majina ya ajabu ajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom