Natafuta kazi.

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Wana Jf kama kuna mtu anatafuta mfanyakazi wa Radio&Tv naombeni msaada wenu! Nina vipindi vingi sana vya redio na Tv vilivyobase sana kwenye business na kwamba tunaweza kufanya mambo mazuri! Naomba ajira yako! ni MP!
 
aku MP au aku PM poa kwa hapa utawapata nakushauri anza kwa kumuomba kazi hiyo mwanakijiji
Wana Jf kama kuna mtu anatafuta mfanyakazi wa Radio&Tv naombeni msaada wenu! Nina vipindi vingi sana vya redio na Tv vilivyobase sana kwenye business na kwamba tunaweza kufanya mambo mazuri! Naomba ajira yako! ni MP!
 
Tamaa hizo, unatafuta kazi nyingine wakati tayari una kazi ya kutafuta kazi?

I'm kiding
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom