Unaweza kucheza filamu moja kali inayokuja hivi karibuni bongo?

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Kama kuna mtu jamani hapa JF anajishughulisha na mambo ya filamu, kuna idea na script za filamu kali sana zinauzwa na kwamba mtunzi yupo tayari kushiri na ukiziona utakubali mwenyewe lazima zitoke bongo nzima! Ni zenye maadaili na zinaonyesha maisha ya watu wacha Mungu wanavyoyajihusiaha na masuala ya mahusiano!
Niibox tuendeleze mpangilio!
 
Jaman hii filamu ni ya walokole sasa hayo tena yatakuwaje? Mh hiyo noma Sumbalawinyo!
 
Huu ni ubao wa matangazo na si sehemu ya dhihaka naomba tuiheshimu
 
I had an Idea Just in my head..., kutumia talent ya wanaJF wa hapa kuweza kutunga vitu kama scripts e.t.c. lakini naona idea haiku materialize although hapa nina uhakika kuna potential
 
If it is real your idea na akuna copy cut from Nigeria or else where ni PM tufanye kazi
 
Am in pal! Na utafurahia hiki ni kipaji zaidi ya kazi kama ukweli umedhamiria just nipm.then tujenge nchi na mwili wa Kristo
 
Nitawajulisha wapendwa mambo yanawekwa pouwa!
 
Back
Top Bottom