Plots for sell

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
four plots for sell at mbezi makabe ,size of each plot 22x25 at Tsh 2,500,000 each contact 0713876210
 
"plot for sell" sio kiingereza jamani. kama hujui kingereza vizuri ni heri kuandika kiswahili. sahihi ingesomeka "plots for sale"

macinkus
 
"plot for sell" sio kiingereza jamani. kama hujui kingereza vizuri ni heri kuandika kiswahili. sahihi ingesomeka "plots for sale"

macinkus

dah! nimeshangaa hajakungongea senks mpaka saa hizi. Hajui JF ni twisheni tosha?
 
Ndo kujifunza wakuu, msimtupie mawe!! Angeandika kwa kiswahili angejuaje usahihi wa kiingereza?
 
"plot for sell" sio kiingereza jamani. kama hujui kingereza vizuri ni heri kuandika kiswahili. sahihi ingesomeka "plots for sale"

macinkus

Mkuu ningekuona mstaarabu kama ungemuelekeza unajuaje kama amekosea kuweka s hapo kwenye plot ??Ina maana wewe unavyoandika kiswahili humu jamiiforums huwa hukosei kabisa hata herufi moja?Huwa unaandika vizuri kabisa hata kama umekosea kwa bahati mbaya??kwa hiyo tukiona hivyo tukuite hujui kiswahili au tuseme bahati mbaya??Tujaribu kusaidiana na sio kupondana eti kama hajui kingereza aongee kiswahili.............Hatutafika kwa mpango huu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom