Kiwanja/viwanja vinauzwa kwa ujumla. Hekari 20 kwa mil 70. Eneo lipo kiluvya maeneo ya kwa Sumaye(waziri mkuu mstaafu). Ni umbali wa kilomita 9 toka barabara ya Dar-Morogoro.
Kwa mawasiliano...
Habari wana jf!
Kuna kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee
kiko kipawa mpya aka kwa mbike na kiko tambarare
ni vile viwanja waliopewa watu waliohamishwa kipawa kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege...
Ipo Kimara Temboni Saranga. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, gereji na jiko. Haijakamilika. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 34 kwa 26. Bei shilingi 25mil. Maelewano yapo. Kwa...
SHIMI ENTERTAINMENT tunatoa huduma za Music na MC, Photo and Video Shooting kwenye sherehe na shughuli mbalimbali. Pia tunafanya promotion za bidhaa mbalimbali kwa street music na dancers. SHIMI...
.
Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27 Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei...
tsup wana jf?
Natafuta laptop yenye full size keyboard na yenye widescreen!
Iwe hp,cmpq,tshb au del na yny spec latest as webcam,2ghz prcr,320gb hdd,2gb ram..
Yeyote ambye anaweza kunisaidia...
Napenda kutoa ushauri kwa wanaJF kuwa, ni vyema tukawa na sikukuu yetu ambayo pamoja na mambo mengine itatoa tathmini kuhusu michango mbalimbali inayotolewa na mbember wa JF. Pawepo pia na mshindi...
Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27. Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei...
Gari hizi ni aina ya Toyota,mbili ni Toyota corona na moja ni Toyota corola E100,Zote ni rangi nyeupe,sports ream,hatu uzi gari moja moja,unashauriwa kuja na fundi wako wakati wa kununua,they are...
Wakuu, nina noah ya mwaka 2001 na nimeiingiza tz sept 2010, odo inasomeka 142880. Kutokana na ugumu wa maisha na kupanda kwa bei ya petrol nimeshindwa kuimudu. Kuna jamaa kapatikana anataka...
Very luxury spacious Villa fixed with Split A/C, ceramic tiles flooring, 4 Bedrooms ( 2 bedrooms with toilets & bathrooms), separate Living and dinning rooms, small garden & car park, available...
....natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies,programs n.k,mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu,library yangu ya movies ina...