Kwa wanaopenda movies kama mimi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaopenda movies kama mimi!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Microsoft, Apr 6, 2011.

 1. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  ....natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies,programs n.k,mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu,library yangu ya movies ina movies kama 300 hivi,but may be nilizonazo mimi kuna mtu hana na alizonazo yeye na mimi sina coz huwezi ukaweza kudownload movies zote ziizopo online,so ni vizuri kama nitapata mtu wa kubadilishana nae bure ili wote tuenjoy!nipo dar,if you wish ni PM kama vp!peace
   
 2. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tutajie angalau movies 10 kali/unazozipenda katika library yako, ili angalau tujue unapendelea movies za namna gani
   
 3. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  Zipo nyingi,na co muv tu,hata series kama nikita,vampire diaries,the event,kyle xy,human target,legend of the seeker nafuatilia,and kuhusu movies napenda sana action movies,comedy na hata za kutisha pia but nikifulia huwa naangalia haa muv za story,n muv ninazozipenda sana ktk library yangu zipo nyingi sana but ngoja nitje kumi tu kama ulivyouliza,
  1.season of the witch
  2.the a team
  3.The losers
  4.Takers
  5.killers
  6.faster
  7.the green hornet
  8.Saw VII-The Final Chapter
  9.salt
  10.Prince Of Persia
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Big Stan je?
   
 5. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  mkuu hiyo sijawahi kuiona coz cna!
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Basi itafute bwana utaenjoy sana!
   
 7. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  ...owk!!
   
 8. kasambalakk

  kasambalakk Senior Member

  #8
  Apr 7, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkuu itabidi tutafutane na if possible kuwasiliane kwa private email coz me napenda sana programmes and movies plus music apo dude maisha bila thithiem yanaenda fresh
   
 9. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  wor ot mkuu,nime ku PM
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Tuliopo mpwapwa tutatumiana kwa shabiby bus.
   
 11. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  :):):)
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  mie ni mpenda movie mwenzio ila ndio cko Dar nina kama movies 700 na mpenzi sana wa series ila kuzipata ni mbinde
   
 13. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  Unanitamanisha sana mkuu,but co mbaya!
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Apr 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu kwa bahati ghafi upo mbali sana na ninapoishi mimi...! Ungekuwa jirani na mimi nadhani unge-enjoy sana, maana library yangu si kubwa sana ila nina movies zaidi ya 1500 plus...! Na kila kukicha inazidi kuongezeka ukubwa... Kuna documentaries, kids movies, animation just taja jina...!

  Kungekuwa na uwezekano wa JF kuwa na torrent, tungeweza ku-share vitu vingi sana, si movies tu hata programs na ebooks, lakini sidhani kama inawezekana.
   
 15. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #15
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mbona zote za siku hizi, wewe ni kijana sana au?
  Ngoja nijaribu kukumbuka zilzizo kwnye library yangu baadhi labda utazipenda .

  1. Jeeper creepers 1,2
  2. Very bad thing
  3. Sleepers
  4. From dusk till dawn
  5. American Beauty
  6. Where eagles dare
  7. Papilon
  8. Titanic
  9. Ghost
  10. Frightners
  11. What's eating Gilbert Grape
  12. Nightmare at elm st
  13. Gonnies
  14. Moon wreker
  15. Doing life
  16. Naughty proffesor 1,2
  17. Bomerang
  18. Comming to America
  19. The Day After
  20. Honey I shrunk the kids
  21. Ruthless People
  22. Ghandi
  23. The Shadow of Kiliminjaro
  24. English Patient
  25. What lies beneath
  26. Riders of the Lost Ark
  27. Death becomes her
  28. Nine to five
  29. Ghost busters 1,2
  30. Aliens 1,2,3
  31. Terminator 1,2,3
  32. Back to future
  33. LA confidantial
  34. Final Destination 1,2
  35. Scream 1,2,3
  36. I know what u didi last summer
  37. Scary movie 1,2,3
  38. Dirty dozen
  39. Sleepy Hallow
  40. Jack the Ripper
  41. American pie

  Ndio ninazo kumbuka haraka haraka , na nina za kileo pia .
   
 16. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #16
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  ...sio mbaya mkuu,but daaah,anyway ngoja niwait wana jf wengine watanijibu nn,bt respect mkubwa,1500??yan hata nusu sijakufikia,but nazid kugundua kwamba tunaopenda muv ni wengi!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hakuna kinachoshindikana labda kama huko mbali ulipo ni mbinguni.
   
 18. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  Nikweli mkuu,ka umri kangu mimi hakajaenda sanaa dat y!but katika list yako no. 41,37,35,31, and 18 nimeangalia,and hizo zilizobaki kama upo dar unaweza ukanisababishia??
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  una sopranos series????

  movies za denzel???

  the goodfellas?
  the godfather????
   
 20. M

  Microsoft JF-Expert Member

  #20
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 60
  mkuu sor,katika list yako hapo sina hata moja!
   
Loading...