Nyumba ya kupanga inahitajika...

Nyumba ya kupanga inahitajika...

Joined
May 16, 2008
Posts
74
Reaction score
7
Iwe Chumba sebule, Jiko na choo. Bajeti ni Tsh 150000 kwa mwezi malipo ya mwaka mzima yapo tayari. Mwenye nayo aniPM.
 
Hapa Kasulu ipo, ila ni 155,000 kwa mwezi, unalipa ya mwaka mzima!
 
Acha upuuz hili nijukwaa la siasa usitupotezee muda nakujaza mada zisizo na tja
 
baadaye mods wakiamka utaona kwenye heading limeongezeka neno ''moved''
 
Sijapotea wala sio mgeni. Wewe unayeuliza kama mimi ni mgeni ndo hujui jinsi ya kumtambua mgeni.
Kwa wale waliouliza ni wapi. Mimi nahitaji maeneo ya Dar es salaam
Ninayo hapa gongolamboto ndo nimemaliza kuikarabati baada ya mpasuko wa mabomu.
Umepotea jukwaa, labda kama unataka iwe ofisi ya chama.

Si umeona ID yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom