Gari tatu aina ya Toyota kwa 17.5m tu.

rhylove

Member
Apr 10, 2011
25
1
Gari hizi ni aina ya Toyota,mbili ni Toyota corona na moja ni Toyota corola E100,Zote ni rangi nyeupe,sports ream,hatu uzi gari moja moja,unashauriwa kuja na fundi wako wakati wa kununua,they are available all the time.
Wasiliana na
0719009968.
0687132625
 
Watu hatuangalii rangi au sports rims kwenye kununua magari, hivyo ni vigezo vya ziada sana. Weka details zinazohitajika
1. Gari ni za mwaka gani?
2. zinatembea?
3. Engine cc ngapi?
4. Diesel/petrol/electric?
5. Mileage inasoma ngapi?
3. Fundi aje kufanya nini?
 
Mimi nimechoka kabisa, hivi kwenye kununuwa gari fundi anahusikaje? au unauza mfano wa gari?
 
itakuwa gari za kichina hzo au ndo yale matapeli gar gan znamasharti m nataka gar moja unataka nichukue zote kama haziuzwi moja moja unatangaza ya nn achen wizi
 
Mimi nimechoka kabisa, hivi kwenye kununuwa gari fundi anahusikaje? au unauza mfano wa gari?

Hivi mtu unanunua mikakafu hiyo mitatu kwa pamoja ili uifanyie nini? gari zote ni salon tena ni za aina moja na ni lazima zimejichokea kwisha kazi kwani hiyo bei na mashart vinatia mashaka
 
ukiona gari inatahitajika kuwa inspected na fundi ujue hiyo gari ni kimeo. Usidanganyike na sports ream wala air bags
 
wizi mtupu eti rim sport ndio nini hiyo sasa rim ndio gari?!!! wewe huoni hata Japan wanauza vipi magari husemi yalipo, mileage hutoi, wala mwaka!!! ww unaleta rim sport ndio kigezo na unauza kwa mafungu!!! yanunue mwenyewe
 
Kaka kama upo serious na unataka kufanya biashara nakushauri ufuate ushauri wa wadau hapo juu. Au jaribu hata kuchungulia website za wajapan uone wanatoa details gani kuuza magari.
 
Gari hizi ni aina ya Toyota,mbili ni Toyota corona na moja ni Toyota corola E100,Zote ni rangi nyeupe,sports ream,hatu uzi gari moja moja,unashauriwa kuja na fundi wako wakati wa kununua,they are available all the time.
Wasiliana na
0719009968.
0687132625

wizi mtupu...Japan CIF ya hizo gari ni USD 2200 unakuja unalipa ushuru not more that 3m leo unauza 17.5m ?? nenda njombe ndo utapata wateja
 
Back
Top Bottom