Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

WanaJF, Kuna nyumba mbili zauzwa jijini DSM eneo la kipunguni-mashariki jirani ya kitunda kama ifuatavyo:- 1. NYUMBA YA KWANZA Ina vyumba 3 vya kulala, jiko, dinning, sitting rum, veranda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau katika kupitapita kwangu nimekuta shamba kubwa lipatalo acre 1000(443HA) linauzwa Shamba hili lipo eneo la Mavulu karibu na Ngerengere na ni kilometa 14 kutoka barabara kuu ya Dar-Morogoro...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni Baloon, Mark II, 4 Cylinder, Manual, ipo kyk hali nzuri sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninazo DELL OPTIPLEX 210L Tower Desktops, ziko dar. Screen ni Flat (17''), Processor Intel Pentium 4 n series 3.6GHZ, 512 DDR2 RAM, 80GB HDD. Price ni laki nne na nusu tu. Piga simu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF, mwana jamii mwenzenu natafuta kiwanja maeneo hayo niliyo yataja hapo juu includes Bunju. Tafadhari nitumie msg kupitia inbox yangu kwamba kiwanja kiko wapi, kina ukubwa gani. Hints...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Iwe pick-up. Inahitajika kwa ajili ya kununuliwa haraka sana . Iwe katika hali nzuri. unayo piga simu +255 784 225 000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii wenzangu kiwanja kinauzwa NUSU HEKA kipo MBEZI MAKABE ni kilometer 5 kutoka MBEZI MWISHO kinaunzwa 5.5 milioni kwa maelezo zaid wasiliana nasi kwa 0757-548554 wote mnakaribishwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
If anyone stops u n asks if u r interested in some perfume n hands u paper 2 smell, DON'T. Its a new scam, da paper is laced wit drugs,u pass out so they can rob u,or worse. Pls 4ward 2 all...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja na nusu,kuna nyumba yenye vyumba vitatu selfcontainer, imefika kwenye lenta, iko maeneo ya boma moshi, mita 50 kutoka barabara ya moshi -arusha,kinauzwa kwa bei...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanamwanza naombeni msaada wenu aliye na contact za mkurugenzi wa HHC ALive FM anipm nitafurahi!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna mtu jamani hapa JF anajishughulisha na mambo ya filamu, kuna idea na script za filamu kali sana zinauzwa na kwamba mtunzi yupo tayari kushiri na ukiziona utakubali mwenyewe lazima zitoke...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
four plots for sell at mbezi makabe ,size of each plot 22x25 at Tsh 2,500,000 each contact 0713876210
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Any one with Radio Station, i am doing Radio Production that includes Radio Programming (Mastering new schedules by considering compentence activities) We also train staffs about radio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana forum ninatafuta nyumba nzima yenye usalama mzuri maeneo ya sinza,mwenge,kinondoni,mikocheni,kijitonyama au kawe.Naoba mwenye taarifa anisaidie haraka.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
wakuu nasikitika kutangaza kifo cha mke wa staff wangu kilichotokea temeke hospital jana ucku marehemu alikuwa anaitwa priska kwa kweli kimeniuma kwani wametoka kufunga ndoa mwaka jana hawana ata...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
FOR ALL TRANSLATION SERVICES, ENGLISH TO SWAHILI OR SWAHILI TO ENGLISH. INCLUDING MANUALS, TRANSCRIPTS, SCRIPTS, SUBTITLES, PROOFREADING, LESSONS HANDOUTS, BOOKS, REPORTS ETC., ETC., CONTACT US...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Used Laptops inauzwa, Dell Latitude D610 - Intel Pentium M processor 1.6GHZ-1.86GHZ, 1GB RAM, 40GB Hard drive, DVD/CDRW, Wireless Internet. . Bei 420,000/- Dell Latitude D620 - Intel Core 2...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yawe Pande za Masaki, Osterbay au Msasani Peninsula. Yawe na Makaratasi Manyoofu Mawasiliano: +255784225000 Au tembelea: kitomai.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Nimezunguka kwenye ofisi za ZAIN/Airtel Arusha kwa siku kadha sasa kila nikiulizia moderm zao za internet, lkn kila safari wanasema zitakuja wiki ijayo,bila mafanikio. Lkn baadhi ya watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jee wananchi mnatozwa fedha kama kawaida au ni bure?fedha hizo zinaenda jwtz au tamesa?upembu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…