Kwanini matangazo mengi hayatoagi BEI..... kwangu ndio kipimo cha kujitangaza ktk biashara inayohusisha monies/pennies.... Ili unavyopigiwa simu mtu tayari ameshafanya hata preliminary comparative analysis.......

Noted.jamani msije mkadanganywa na madraftsmen na mafundi wakawachorea nyumba za ajabu ikawacost maisha yenu yote, wakati maspecialist wa kazi hiyo tupo humu... Im a real architect, based mainly in arusha and dar, but kazi yoyote nafanya na mahali popote... Kazi ya kuchora ramani huwezi kusema bei before you meet the clients requirments, so for any serious client, please contact me, a real architect and not a draftsman, and with a reasonable price.
karibu mkuu, next time bonyeza kitufe cha thanks hapo chini
Naomba:Pata ramani za nyumba kila design utapata
cobtact: 0717 174900
Hizo picha za nyumba za mbao huwezi kujenga Africa wewe Mr. Bean, zitaliwa na mchwa na kupigwa na fatuma usiku. Na, hatutoi building permit kwa nyumba ya mbao Tanzania. Context please.