Shamba linauzwa, lipo kibamba -- kiluvya dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba linauzwa, lipo kibamba -- kiluvya dar es salaam

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MWAKIGOBE, Jun 5, 2011.

 1. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shamba hili lina ukubwa wa hekari tano, pia lina faa kwa ujenzi na barabara inafika vizuri. Bei yake ni 20,000,000/-.tu za kitanzania.
  Mawasiliano 0719646407,
  0713802507.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Mkuu nusunusu haliuzwi say hekari moja? vipi habari za mipango kiji halipo kwenye plan yoyote?
   
 3. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umbali gani toka barabara kuu ya lami?,umeme nao uko umbali gani?
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  mtu mwenyewe katoa tangazo alafu kaingia mitini
   
 5. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umeme upo karibu kwani kuna watu wameisha jenga na wanaishi. ni umbali wa km 5 kutoka barabara ya lami, hata kwa hekari moja unaweza kukatiwa! maelezo zaidi piga no 0719646407.
   
 6. R

  Reasoning Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibamba na Kiluvya ni maeneo mawili tofauti. Shamba hilo liko Kibamba au Kiluvya? Tafadhali eleza ni upande gani wa Morogoro road-kushoto au kulia, sema wazi umeme/ upo ukaribu kiasi gani-kadiria KM. Niko interested lakini ni muhimu ukaeleweka wazi zaidi ktk forum hii kabla sijapoteza muda wangu na resources zangu kukupigia
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  chaa, :confused2::majani7::confused2::majani7:
   
Loading...