Natafuta chumba cha kupanga arusha mjini

Natafuta chumba cha kupanga arusha mjini

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
Mimi ni mgeni hapa arusha mjini nimefikia nyumba ya kulala wageni hapa kaloleni natafuta chumba cha kupanga.
1.kiwe katikati ya mji ili kunirahisishia kazi zangu.
2.kiwe na usalama wa kutosha kwani nitakuwa nasafiri sana.
3.kikiwa self nitafurahi zaidi.
4.sihitaji dalali.
Mwenye kujua ani pm nimpe namba za cm.

Samahanini ingawa hapa si mahali pake nimeweka hapa makusudi ili nisaidiwe haraka .
 
Hii si Kazi Ya Ma-Great Thinker ni ya Madalali Aliowakataa!Moderator Ondoa hili Tangazo!
 
Hii si Kazi Ya Ma-Great Thinker ni ya Madalali Aliowakataa!Moderator Ondoa hili Tangazo!
Join Date : 8th April 2011
Posts : 22
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
Hii si Kazi Ya Ma-Great Thinker ni ya Madalali Aliowakataa!Moderator Ondoa hili Tangazo!
kaka umekuja vizuri ila ungeacha tu kuifungua.
madalali wanaharibu bei kwa njaa yao ya siku moja ndio maana nikaomba msaada wa magreatthinker wa a town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom