Kiwanja kinatafutwa !

we nenda mbezi au kingazi kanunue nusu heka kwa m 3 au mbili
 
umejiandaa na bei gani?

Sijui bei bana wewe kama unakiwanja sema sh ngapi kama naweza tufanye biashara kama siwezi utajua then , budget yangu sio issue inapanda na kushuka kutokana naubora wa kitu bana !
 
tabata kisukulu kipo cha mil 12 ni nusu ekari. piga 0784 419030. Hata hivyo kama ulivyoshauriwa vizuri kusema bajeti yako kwani baada ya kupata eneo bei ni makubaliano kati yako na mwenye kiwanja kutokana na wewe unavyoona eneo husika.
 
Vipi mkuu maeneo ya Kigamboni Dege inakojengwa bandari mpya hauitaji?
 
Mi ninacho mbezi juu, 4.5km from masana hospital, 27x57. 30mil
 
Kipo Mbezi ya Kimara, unaingilia Luguruni, kina Square Metre 2200 na kipo barabarani, kwa maelezo zaidi piga 0768111123
 
Back
Top Bottom