Jamaa yangu mmoja aliniuliza jana, ni wapi anaweza kupata mkopo wa haraka Tsh. 1.5m ili akalipie ushuru wa mali yake bandarini halafu atarudisha ndani ya mwezi mmoja with 10% interest.
Yuko...
Tunatengeneza mabango ya matangazo kwaajili ya
maduka, salon, ofisi, taasisi, hotel, pharmacy n.k
katika ubora wa hali ya juu, bei nafuu na haraka
tupo kariakoo mtaa wa amani na chui
0716 002790...
Ndugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 4 mpaka kumi linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa.
KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS WASILIANA...
am selling a starlet (1995, manual), its in a good condition. its KM reading is 155,000 the last price I can accept is 4.0 million no negotiating below that unless you what to offer a higher price...
FOR SALE HEIDELBERG SM 74 2 COLOUR 1994 MODEL.
RUNNING CONDITION - 49 milion impressions only
ASKING PRICE $75,000 NEGOTIABLE
contact us on sales@speedyprint.co.tz or call 0685 10 60 60
Ipo kimara stop over. Self contained ya vyumba vitatu, jiko, sebure na dinning, ni nyumba ya zama hizi.Imejengwa juu ya uwanja wa eka moja. Bei tshs 55mil. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
Is finding a home or office frustrating? Are you tired of being coned?
myDalali is a platform and tool that enables you find what you need in a most efficient and effective way. We minimize cost...
natafuta betri ya lenovo T61 Ndugu wana Jf,natafuta betri ya laptop aina ya lenovo T61,napatikana singida na mwanza,yeyote mwenye uwezo wa kuipata awasiliane nami kupitia number 0784 607 939
High density size 19 x 24 kipo karibu na flats za wafanyakazi wa BOT. Kina hati miliki. Bei 55mil. Kwa kukitazama book appointment kwa kupiga simu 0717114409 au tuma ujumbe kwa kupitia hii barua...
Napenda kuchukua fursa hii kuwatangazieni kwamba, kampuni mpya ya mabasi, Zonda Bus Group(inayozalisha nchini China), inatangaza bidhaa zake(Zonda Bus products), ni basi za aina zote na...
HP Pavilion G6 Laptops available, Brand New ( siyo refurb or used)
Processor -AMD Athon II Dual Core 2.3GHZ
Memory - 3GB DDR3
Video Graphics - ATI Mobility Radeon HD 4250 Graphics
Hard Drive...
Nina Iphone Model M/A712LL yenye version 3.1.3(7E18) nimekuwa nikijaribu kuongeza APPL lakini bila mafanikio nina cydia pamoja na Instalous lakini nikizitumia kupata appl zingine zinanipeleka App...
Ni wauzaji wa magari ya bei nafuu zaidi kutoka JAPAN na CHINA karibu kwenye yadi yetu ndogo kinondoni mkwajuni uje ujionee gharama za magari yetu uone utofauti kati yetu na yadi nyingine zilizopo...
Kwal wale wenye ufahamu ningependa fahamu naweza zipata wapi bidhaa hizi mbili za mtumba na jumla yake yaweza kuwa kama kiasi gani
flatscreen size ya kati tu sio kubwa sana the same to hizo...
"Mpenzi na Mdau wa FAJI Unakaribishwa kwenye Semina za Utambuzi zinazoendelea. Mada ya Wiki hii inasema " "NAMNA YA KUPATA CHOCHOTE UNACHOHITAJI MAISHANI. Siku-j^mosi na j^pili tarehe 30 NA 31...