jossey1979
Senior Member
- Apr 28, 2008
- 172
- 42
Wakuu,
Nimeangalia hii gari kwenye mtandao ina Muonekano mzuri sana kwa Nje Na Ndani.
Bei yake ni affaordable. less than 10m you can have the car kama wewe ni mjanja wa ku burgain kule Tradecar view.
Kuna mdau yeyote amewahi tumia hii gari.
vipi kuhusu running costs zake?
Natanguliza shukrani