Mkopo wa haraka

Mkopo wa haraka

Joined
Sep 23, 2011
Posts
15
Reaction score
1
Wana JF, naombeni msaaada wenu wa mkopo wa Tshs Mil 4, ambapo kila mwezi nitalipa riba na kurudisha mkopo baada ya miezi minne. malipo ya riba kila mwisho wa mwezi. nina shida sana na kiasi hicho. ninaweza kutoa kadi ya gari nissan skyline lakini pia nina nyumba japo haina hati. natanguliza shukrani kwa aliye tayari kunisaidia. nipo tayari kutoa riba ya 10% kila mwezi. Mungu awabariki, nipo wakati mgumu sana, pia unaweza kupata mdhamini toka ofisini kwangu, ili upajua na ofisini kwangu. waweza nipigia simu +255 719 473879
 
Mmh! Yanatokeaga haya!! Pole sana @ mtafutaji halisi!!
 
10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?
 
10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?
.

ndugu yangu asante sana kwa mwitikio wangu. kwa kweli mimi nashukuru sana kwa msaada wako. ninachoweza kusema nimekuja hapa jamvini kuomba msaada kweli kwa sasa nimetingwa, ndo maana nimeomba msaada hapa. waweza kuja ofisini na ukathibitishiwa na Finance and Administration officer wetu. kwa kuwa nilichoweka hapa nina uwezo wa kukulipa kila mwezi na ku clear hiyo amount baada ya miezi minne. sina namna ya kukuthibishia zaidi, lakini salary slip yangu itaonyesha, na pia mtu wa fedha naweza kuweka commitment kwa mtu wa fedha ufisini kwetu. tafadhali, tafdhali, nipo wakati mgumu, waweza kunitumia text kwenye simu yangu tukaongea vizuri. NATANGULIZA SHUKRANI
 
10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?
.

ndugu habari za kazi, vipi nawezaje kuwasiliana nawe. natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
 
10% = 400,000.00 kwa mwezi,
sio mbaya, naweza kukupa,
But udhamini wa mtu badala ya mali ndio tatizo.
Huyo mdhamini nae akiingia mitini?

we kweli ccm, haitakuka 400,000 itakua around 33k, fanya 4,000,000 x 10% x 1/12 naona, sidhani kama jamaa alimaanisha 10% kwa mwezi yaani 120% kwa mwaka, haiwezekani!
 
we kweli ccm, haitakuka 400,000 itakua around 33k, fanya 4,000,000 x 10% x 1/12 naona, sidhani kama jamaa alimaanisha 10% kwa mwezi yaani 120% kwa mwaka, haiwezekani!

Wacha Umasaburi wa kimagamba wewe!!!
Rudia kusoma Post pale juu.
Au huwezi kusoma, hii comment umeandikiwa???!!!!
 
Back
Top Bottom