nyumba zinauzwa kwa azizi ally Dar es salaam.

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
nyumba hizi ziko mbili katika kiwanja kimoja. barabara ipo, ziko katika mtaa ulio pangwa vizuri,na serikali. hati ipo, maji na umeme vipo. mawasiliano: 0719646407
 
nyumba hizi ziko mbili katika kiwanja kimoja. barabara ipo, ziko katika mtaa ulio pangwa vizuri,na serikali. hati ipo, maji na umeme vipo. mawasiliano: 0719646407

Niakikishie kuwa hizo nyumba hazina kunguni viroboto, mende na panya
 
Niakikishie kuwa hizo nyumba hazina kunguni viroboto, mende na panya

Hazina mkuu ni nyumba nzuri zinamadirisha makubwa ziko katika hali ya usafi ambapo si rahisi kuwa na mende, kunguni na viroboto, ila wewe ukihamia humo na ukawa mchafu, viumbe hao watakuwa wageni wako, karibu mkuu tufanye biashara.
 
Wabongo wengi tuko interest na Bei kwanza, kisha picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom