Hizo za Zain hazitafanya kazi. Kama unataka poteza hela yako jaribu. Utazitumia kupitia mtandao gani maana hakuna mtandao unaojulikana kama Zain hapa Tanzania. Nenda kanunue Vodashop sh. 29000 na hutajutia hela yako hata mi naitumia.Achana na modemu za voda toleo lote lililotoka saizibni feki, ukienda ofisini kwao voda wanauza 29,000 lakini hiyo pesa ni kama vile uyakuwabumetoa sadaka. Nenda Zain kanunue moderm ya ukweli, bei ni Tshs 60,000 hutajutia.
shukran wadau' niliipata jana kwa mdau mmoja hapa hapa JF. Jah bless