Nyumba inauzwa mikocheni "a"

Nyumba inauzwa mikocheni "a"

CtVKiLaZA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
301
Reaction score
39
Nyuma ipo Mikocheni "A" Karibu na Mikocheni hospital, ina vyumba vitatu, uwanja 164sqm. DALALI HATAKIWI
piga 0767-637437 au 0754-368558
 
we unataka uwanja wa golf? Duniani 2napita. Makazi ya kudumu ni mbinguni

Nafikiri hauko sawa katika mausala ya size ya viwanja, plot ya 164sqm huwezi kujenga nyumba ya vyumba vitatu na kubakiawa na uwanja hata wa kupaki vespa. chukua mfano viwanja vya Sinza vingi ni high density 15X25 = 375sq. Sasa icho cha 164sqm hambacho hata akifikii nusu ya 375 kikoje? Nafikiri amekosea itakua 1640sqm na kama kweli kina size 164spm icho kitakua maeneo ya squater na akitambuliwi na wizara ya ardhi. Wizara husika hakiwezi kutoa hati ya size iyo. Minimumu ni high density 350sqm na kuendelea mpaka 700sqm, na kuendelea na midium na low density.
 
Si kweli mkuu. Mimi nina kiwanja Mikocheni Block C ("Business")*size 288sqm (12x24m). Na hati ninayo! Ila hicho cha 164sqm ni kidogo mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom