nahitaji mbao 4x2,na 6x2,treated kwa bei ya jumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji mbao 4x2,na 6x2,treated kwa bei ya jumla

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Parachichi, Nov 2, 2011.

 1. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima zenu,nataka kufungua duka la ujenzi hivi karibuni,nilikua nataka hizo mbao tajwa hapo juu kwa jumla,kwa yeyote anayefanya hii business ani pm tufanye business!dalal hatakiw manake nafahamu bei ya soko.nawasilisha wakuunipo dar wandugu
   
 2. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nenda Pale Mbeya Cement MBELE YA KITUO CHA DALADALA KUNA KIJANA PALE ANAZO.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu bila dalali hupati mzigo Dar. Shamba (sao hill) zinauzwa cubic meter moja Tsh. laki nne, jijini zinauzwa kati ta Tsh. laki 5 na 20 mpaka 30.

  wauzaji wa leja leja 2 by 6 wanapima futi moja tsh 1200
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa hiyo nikiwasiliana na Sao Hill je siwezi kupata mzigo hapa dar?naonaga yale malory yanashusha mzigo mitaa ya mwenge,nadhani wale ni wafanya biashara wanaufuata huo mzigo huko Iringa wanakuja kuuza huku dar,ndio nilikua nataka niwapate wale!manake madalali wanawezxa kukuuzia mzigo faida yote keshachukua!

  Nawasilisha mkuu
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu nashukuru nimeona kwenye website ya sao mill industries ngoja nipate mawili matatu kwanza
   
 6. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Unazungumzia Mwenge upande wa kushoto baada ya mataa ukiwa kama unaelekea Ubungo?? kwani zile mbao zinazoshushwaga pale mwenge ni mbao ambazo ni "treated"?? C ni mbao za kawaida tu zile??
  Tumia madalali, kwa makubaliano maalum, ishu yako ifanyike fasta uokoe rasilimali muda, otherwise wasiliana na Sao Hill wenyewe...
   
Loading...