Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo eneo la Samaki. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko. kodi shs 600,000 kwa mwezi. ruksa kulipa kodi ya miezi sita. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
0 Reactions
19 Replies
2K Views
ok how are you doing rafikiz. am new here
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello Wadau, Nauza Subaru Forester 1998, Turbo, Ina wiki mbili tu imelipiwa kila kitu bado insuarance tu ina plate number na siti za STI naambatanisha na picha bei mil 12 but it can be negotiated...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni hapa arusha mjini nimefikia nyumba ya kulala wageni hapa kaloleni natafuta chumba cha kupanga. 1.kiwe katikati ya mji ili kunirahisishia kazi zangu. 2.kiwe na usalama wa kutosha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shamba hili lina ukubwa wa hekari tano, pia lina faa kwa ujenzi na barabara inafika vizuri. Bei yake ni 20,000,000/-.tu za kitanzania. Mawasiliano 0719646407, 0713802507.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
haya tena wakuu mwenye hiyo gari au kama kuna mtu anauza toyota hilux double cabin 2.8 tuwasiliane wakuu inahitajika kwa bei yoyote.no 0714812375
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Seriously wakuu, Wapi naweza pata Laptop specs from 2GB- 4. Brand new au used zenye hali nzuri na kwa bei nafuu Dar?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa nauza laptops aina ya Dell Inspiron 4150 zipo chache ndio zimeshuka kutoka Marekani hivi karibuni, zimetumika lakini ziko katika hali nzuri kabisa ,zinauzwa kila moja Tsh 550,000. Kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wandugu wenye viwanja maeneo ayo wanisaidie.madale, bunju, boko,mbweni n.k
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please kwa mwenye info kuhusu plot maeneo ya Kinyerezi ,segerea tabata !
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu wa JF, Leo tarehe 02/06/2011 zikiwa zimebaki siku takribani tano kuanza kusoma kwa bajeti ya 2011/2012; nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe billa kushawishiwa na mtu yeyote yule, huku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa mtu anayehitaji RAM DDR-3,2GB awasiliane nami kwa namba 0713726964
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunasaga na kuchanganya chakula cha mifungo - kuku, nguruwe, nk ni PM nikupe details zaidi.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jamani nauliza naweza kupata wapi HDMI cable yaani kama kuna duka,je lipo sehemu gani,na kama kuna mtu anauza,ningependa kama inawezekana kujua na bei yake, Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Gari Isuzu Journey Bus inauzwa. Displacement 4,320 cc, Steering Right, Transmission Manual, Fuel Diesel, Model code 4BD1, 29 Passengers. Imefanya kazi miezi 8. Price; TZS 25M Open to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello, Nipo Dodoma, natafuta laptop yenye sifa hizi:- 1. RAM 1GB 2. HDD kuanzia 120GB nakuendelea. 3. Os ikiwa na visita nitafurahi ila hata ni xp hamna shida. 4. Iwe na condtion nzuri iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Idhaa ya kiswahili ya RFI KIswahili inatarajia kuadhimisha mwaka mmpja tokea kuanzishwa kwake , ikiwa imekita mizizi yake jijini Dar es salaam Nchini Tanzania mnamo 5July. Ili kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipo changombe -temeke karibu na maduka mawili piga namaba 0713 689665 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza daladala Toyota DCM lina ruti ya Tabata - Posta. Linatembea, limefungwa tairi mpya na liko kwenye hali nzuri (Engine+Body+Rangi+Seat Cover). Bei 25m (maelewano yako). Mawasiliano ni 0773...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Toyota estima inauzwa na autorec dola 1780 au shligi 2,848,000 iko japan. Hivi garama ni pamoja na usafiri wa kuileta huku tanzania au? Harafu nisaidieni mchanganuo wa kodi zetu wa kuingiza gari...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…