Buza Pakoje Jamani?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,221
28,726
Wadau,
Katika kujaribu kuachana na kero za Wenyenyumba nimeamua kutafuta kiwanja ili nami niwe na kwangu vilevile.
Sasa katika hangaika yangu, nimeambiwa kuna kiwanja cha kilichopimwa maeneo ya Buza (ndani ya mradi), bei 11mil, ukubwa Sqr Mtr 700.
Sasa nauliza kabla ya kwenda huko, kuna yoyote mwenye uelewa wa hili eneo kama vile barabara zake, ardhi yake,
upatikanaji wa maji,
umeme n.k?
Kwa sasa niko Zanzibar kwa muda, naogopa nisijefunga safari kumbe mahali penyewe kimeo.
Pia nimeweka bei ili mnisaidie kama kwa bei na ukubwa huo nitakua nimepatwa, mimi ndio nitakua nimewapata, au sawa tu??
Msaada jamani!!
 
Buza nimeambiwa unaenda mpaka Jet/Lumo unakata kushoto na kuendelea,
Otherewise unaweza kupitia Tandika ukaenda mbele zaidi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom