Natafuta nyumba ya kupanga Mwanza

Natafuta nyumba ya kupanga Mwanza

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,554
Reaction score
7,993
Naomba mnisaidie mtu mwenye nyumba ya kupanga Mwanza,2bedroom + siting room + kitchen + toilets/bathroom ya ndani.Isiwe mbali sana na mjini.
 
Nyakato ipo maeneo ya mwananchi bei kwa mwaka ni 2,300,000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom