Eneo ukubwa wa heka mbili lenye nyumba ya kisasa yenye vyumba vitano ikiwemo master bedroom, kitchen, dinning, sitting room, choo na bafu store na study room safi, matank mawili yenye ujazo wa...
Natafuta "Dealer" :- Muuzaji, Msambazaji, Mafundi, e.t.c wa printers aina ya TallyGenicom hapa Tanzania.
Unaweza ni-PM au email baba_enock@yahoo.com
Thanks
BE
Nahitaji new brand desktop computers with following specs
*processor core 2 duo
*ram 2GB
*Screen, TFT 17"
*HDD >= 250 GB
*DVD +- RW
Kwa yeyote anayefahamu mahal znapouzwa au yeye anauza...
Awe na mdhamini,
elimu kuanzia darasa la saba,
Umri kuanzia miaka 18,
Awe na afya njema,
Form four na kozi ya Computer ni Sifa ya ziada!!
Kazi yake kuu ni kulea mtoto mmoja,kufua nguo...
Ndugu zangu wanajamvi habari zenu.?
Natafuta nyumba ya kupanga nzuri ya kupanga.
- Chumba kimoja na sebule au zaidi,
- Kodi isizidi Tshs. 100,000/- kwa mwezi,
- Iwe self contained,
- Iwe na umeme...
Piga namba 0716622185 au 0759311775
Kuna kiwanja kinyelezi karibu na tank kubwa la maji la kinyelezi.
Upana ni mita 33 na urefu ni mita 21. Upana wa barabara ya kuingilia kwenye kiwanja ni futi...
Habari zenu,
nauza laptop aina ya P8 packard bell ni mpya na ina sifa zifuatazo:
3 GB RAM
320 Hard Disk
DVD-RW super multi DL drive
15.6 HD LED LCD
1.3 MP webcam
Intel Core i3-330M processor
Intel...
Helo ladies and gentlemen.......Kilechia Fashions & Designs Shop is now OPEN.
Location: Kimweri road/ CCBRT Msasani Opposite TIRDO Msasani. You are warmly welcome.........!!!...you may also visit...
jamani nisaidieni, nina kakibanda kangu kanahitaji kuelezekwa hapo kitunda, Dar...nahitaji kujua wapi nipate mabati kwa bei nzuri na vifaa vingine vya finishing. Nahitaji mabati ya migongo mipana...