Kama kuna mtu ana laptop aina ya hp pavilion g6 iwe mbovu au nzima naomba aje tuongee popote pale alipo. Na kama ni mbovu motherboard iwe angalau nzima.
Njoo PM nikupe hela.
nchi ya China, inatengeneza bidhaa kwa ubora aina 2, kuna ambazo made for china (kwa matumizi ya ndani ya china ,zinakuwa imaa mno na mara nyingi hazina box. Pia kuna aia ya pili made for out of...
wakuu, mwenye chumba maeneo ya Chamanzi nahitaji, kiwe kikubwa kizuri, kiwe ndani ya fens, kuwe na umeme na maji, kisiwe mbali na barabarani, kodi 30-35 miezi 3+.
0683160108
WanaJamii,
Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima...
Ugonjwa wa homa ya manjano kitaaramu huitwa HEPATITIS. Ugonjwa huu ni hatarisana, unasababishwa na VIRUS aina ya HEPATITIS.Virusi hivi mara nyingi hushambulia INI ktk mwili wa binadamu.
Ugonjwa...
Hello wadau'
Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo.
Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide.
Natafuta master room
Tiles, gypsum all that
Maji umeme usiwe shida na iwe...
Mara nyingi gari ikiibiwa masega,
1. Itawasha check engine
2. Inaweza kukosa nguvu.
3. Inaweza kumisfire(misi).
4. Itatumia mafuta vibaya sana.
Hizo ni baadhi tu ya dalili ambazo unaweza...
Sasa unaweza kupata Nyumba za kupanga, Apartments, Frames na Viwanja katika maeneo yote ya Makongo juu. Nyumba zenye hadhi tofauti na Bei tofauti.
Wasiliana nami kwa 0743941142.