Nahitaji Chumba cha kupanga Chamazi

mzeesam

Member
Aug 7, 2016
79
53
wakuu, mwenye chumba maeneo ya Chamanzi nahitaji, kiwe kikubwa kizuri, kiwe ndani ya fens, kuwe na umeme na maji, kisiwe mbali na barabarani, kodi 30-35 miezi 3+.

0683160108
 
Wakuu, mwenye chumba maeneo ya Chamanzi nahitaji, kiwe kikubwa kizuri, kiwe ndani ya fens, kuwe na umeme na maji, kisiwe mbali na barabarani, kodi 30-35 miezi 3+.

0683160108
 
Mimi sio mkazi wa dar ila kwa gharama hiyo dah.. anyway sijui lakini ngoja waje wenye uzoefu wakupe muelekeo kuhusiana na hili
 
kama ww sio mkazi wa dar tulia sasa, mm nakaa chamanzi nalipa kodi elfu 30 na chumba kipo ndani ya fensi, nataka kubadilisha mazingira, chamanzi vipo hadi vyumba vya 25 30, 35 cha 40 ni kama ikulu so kama hukai dar tulia huwezi elewa
 
Haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom