Nahitaji typist awe na uwezo wa kutumia computer na vifaa kama photocopier, fax, binding machine etc.Awe amepitia mafunzo ya Typing na amesoma aplications za computer kama vile Ms word, Ms excel...
Hello Great thinkers!
I am looking to sub-contract the finishing of a 2-storey, 4 bedroom Residential house with a total building gross area of 256.5 sqm.
The superstructure of the house is...
Natafuta mahali ambapo naweza pata CD za jumla zile za kibongo na zile zisizo za kibongo. Nawaombeni na bei zake kama kuna mtu ana detail za mahali zinapatikana
jaman nimesikia kuna walaka umeandikwa ukiwataka viongoz waliopo madarakani wajiuzuru.kama kuna anaeujua anitumie kwenye email yangu* obeidtheophil@yahoo.com
Nyumba inauzwa Keko Mwanga,karibu na kanisa la keko, kubwa ina vyumba sita,uani ina vyumba viwili,ina frem ya duka, maji na umeme. imezungushiwa ukuta.
Bei yake ni T shilings milioni 50
kwa...
Sio laptop but ni Net book of its sort 11.6 screen size, mara nyingi netbook zina screen size ya 10 or less, ni acer-Aspire one 722, ina 4GB DDR3 Memory, ina 500GB HDD ni AMD duo core PROCESSOR...
Acer yenyewe ni mpya kabisa ,tatiso niliwasha pasipo kuichaji kwa kwa muda mrefu nadhani ndio tatiso likaansia hapo.mwenye battery anijuse tumake biashara
MWEMAGE COMPUTE R TECHNOLOGIES CENTRE.
Dealers in :
1. Computer Repair and Maintenance
2. Web design and hosting
3. Local area Network Design and installation
4...
Habari wana JF,tunatoa huduma ya kutangaza biashara mbalimbali kwa kutuma sms kwa watu, tuna application inayoweza kutuma Group/Bulk sms kwa watu wote kwa mitandao yote ya simu kwa bei sawa, ni...
Wadau wa JF natafuta trela kwa ajili kubebea mizigo. Mimi tayari nina kichwa(hose/tractor) ninahitaji trela ili nianze kazi. Yeyote anayeuza au kukodisha tafadhali wasiliana nami kwa PM.
Habari wana JF,tunatoa huduma ya kutangaza biashara mbalimbali kwa kutuma sms kwa watu, tuna application inayoweza kutuma Group/Bulk sms kwa watu wote kwa mitandao yote ya simu kwa bei sawa, ni...
Habarini za majukumu wakuna vichwa? Jamani mbio zinaendelea, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni, iwe ya vyumba 3 vya kulala, iwe kimojawapo ni master. Iwe na maji na umeme wa uhakika...
Ninauza kiwanja hakijapimwa,Kipo Kibada mbele ya kigambo njia ya kuelekea Kisarawe Dar es salaam,Ukubwa robo Heka,Bei 3m maelewano yapo,Mauzo yatafanyika chini ya usimamizi wa Serikari ya...