Acer Aspire netbook for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acer Aspire netbook for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ICHONDI, Nov 12, 2011.

 1. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Sio laptop but ni Net book of its sort 11.6 screen size, mara nyingi netbook zina screen size ya 10 or less, ni acer-Aspire one 722, ina 4GB DDR3 Memory, ina 500GB HDD ni AMD duo core PROCESSOR C60 with Turbo CORE technology up to 1.33.

  Processor hii ni very powerful than Atom Processor ambayo most of Netbook inakuja na processor za Atom. Bei yake ni dola $350 au shs 630,000 za Kitanzania. It is a very good design little machine suitable for people who like to travel with less lugggage etc.

  Kama kuna anayehitaji nijulishe haraka kwani zipo kwenye sale kwa sasa at costco.com na mimi nipo nje kikazi na nimejipatia moja nikaona niwajulishe na washirika zangu ninyi kama kuna anayehitaji. Ninarudi nchini end of this week, so hurry up. Inakuja na warranty ya 2 years pia, very incredible!!
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu ina dvd writer? Wireless charge vp iko fresh? Nimekupm tuongee,vp bei inaweza kushuka kidogo?
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  na mim nahtaj
   
 4. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mkuu nimekuPM mbona uko kimya? Nahitaji moja
   
 5. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Oh sorry ilibidi niahirishe safari nitinge north Carolina kwenda kwenye msiba wa mama mmoja Mtanzania. Narudi Newyork kesho na nitakwenda Costco nione Kama Bado zipo. Haina DVD ni very portable little machine. Ni pm tena Kama Bado unaitaji
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  vp betri yake inatunza chaji? Ni cd rewriter au? Do you mean haisomi dvd? Bado nahitaj mkuu ile bei ipungue kidogo
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Kaka si kakwambia haina DVD,nimeona netbook zinakuwaa havina DVD rom,ukitaka google utaiona vizuri ilivyo,haina tundu la kuingizia CD/DVD hope umeelewa kwa lugha yetu sisi vihiyo wa mambo ya kompyu
   
 8. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mkuu mbona processor speed ndogo sana @ 1.33GHz, fanya laki 5 tufanye biashara fasta,,,
   
 9. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mara nying zinatunza charge zaidi ya masaa mawil hadi matatu,dvd inabidi ukanunue external dvd rom zipo town aizidi laki 1 nyembamba kama kasha la cd za sony.acer is best motherboard zake imara sana nunua mkuu
   
 10. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  sasa ukinunua external dvd,badala ya kuwa portable si inakuwa mzigo tena au?
   
 11. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ama kweli kihiyo,ndo mana nina maswali mengi,lol!
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwani hizi laptop za aina ingine zinatunza charge kwa muda gani mkuu@babuu blessed
   
 13. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  sikuiz ni mambo ya tekinologia cd azitumiki sana ni flash/internet unanyonya unasave tena ina 500gb labda ujaze kwa movie bt kama ni data tu utaipigia mzigo sana.kuhusu betr kunanyingne inakaa hata zaidi ya masaa matatu hadi 4au 5 lakini kuna betr 6cell ihi inapga mzigo masaa 11 tatizo azipatikani kwa urahisi na bei uwa inakuwa juu kidogo.NB Ukitumia laptop katka kuandika charge inadumu kwa muda lakini ukitumia kwa kusikilza nyimbo au kucheck movie charge inakwisha haraka.
   
 14. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sawa babuu nimekusoma,jamaa mwenyewe naona amekula kona,hata hajibu Pm
   
 15. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sawa babuu nimekusoma,jamaa mwenyewe naona amekula kona,hata hajibu PM,Haya mwingne mwenye nayo anitafute,si lazima iwe netbook,cha msing iwe na hdd kubwa na speed kubwa na pia iwe katika hali nzuri
   
 16. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sasa nikitaka kuwatch movie za kanumba inakuaje tena? Itaninyima raha,aah!
   
 17. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Heh kumbe kuna watu bado mna watch movie(?/paste&copy)za mpiga ngoma kanumba
   
 18. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ee bhana ingawa anacopy na ku paste nami nacopy movie zake kama kawa!
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuelezea mtu mpaka akaelewa inahitaji kipaji.
  Maana unaweza ukaulizwa je kama kama haina tundu nikilitoboa sasa ili niweke DVD Rom?
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  JF bana yaani nimejikuta nacheka mwenyewe tu.
   
Loading...