Tangaza biashara yako kwa mobile application hii

Tangaza biashara yako kwa mobile application hii

Mputi

Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Habari wana JF,tunatoa huduma ya kutangaza biashara mbalimbali kwa kutuma sms kwa watu, tuna application inayoweza kutuma Group/Bulk sms kwa watu wote kwa mitandao yote ya simu kwa bei sawa, ni tsh 45/= per sms, for more info contact me: gerald@webtechnologies.co.tz or visit: www.webtechnologies.co.tz
 
website yenyewe haijakamilika ni website ya kawaida sana haioneshi kuwa ninyi ni watu wa technology ....
iboresheni kwanza website yenu iwe impressive
 
ninyi ndo huwa mnasumbua watu kwa kuwatumia sms hata pale wasipopenda.
 
Back
Top Bottom