Natafuta nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kisusi Mohammed, Nov 21, 2011.

 1. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Habarini za majukumu wakuna vichwa? Jamani mbio zinaendelea, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni, iwe ya vyumba 3 vya kulala, iwe kimojawapo ni master. Iwe na maji na umeme wa uhakika, fence na usalama vizingatiwe, parking muhimu pia. Budget kuanzia laki 2 mpk laki 2 na nusu! Kwa mwenye nayo au fununu anicheki kwa 0768111123
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Dah,
  Nakumbuka ulikua ukiuza kiwanja huko Kigamboni,
  Yaani umefikia kuuza kiwanja ili uishi nyumba ya kupanga badala ya kujenga???
  Hii kubwa kuliko!!!!
   
 3. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Shark unaniangusha sn! Nimeamini haupo kati yetu cc great thinkers, au ni njia ya kunichokonoa ujue mali zangu?! Hivyo viwanja ninaviuza kwa ajili ya liquidation, nimewekeza pesa kwny hy ardhi km appreciating asset au ulitaka ninunue gari! Kujenga ntajenga tu mkuu ucwe na presha, km mwenzangu ulifanikiwa mapema bac ujue zamu yako iliwahi, mi nasubiri zali la NHC watuokoe wanyonge. Suala la msingi: UNA NYUMBA NINAYOHITAJI UNIPANGISHE?
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Si kwa ubaya mkuu, nlikua nashangaa tu.
  Ila ushauri wangu anza tu kujenga sasa.
  Appreciation ya ardhi haina kikomo useme kwamba hapa ndipo ulipopataka.
  Pili wakati ardhi ina-appreciate, dollar nayo ina-appreciate as well against shilling, so watch out mkuu wangu.
  Mwisho sina nyumba ya kupangisha huko, nliyo nayo ni ya kuishi mwenyewe ambayo haijaisha!!!!
   
 5. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Haina neno, mshangao wako ulinishangaza nami. Mi nina priorities zangu kwny maisha na kujenga ipo nafasi ya 6 kwny orodha ya vipaumbele vyangu kwa hy ucjali, kila mtu ana approach yake kwny jinc ya kusukuma gurudumu la maendeleo! Niletee wateja wa viwanja!
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,106
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Waweza kucheki na huyu Dalali wa huko kigamboni,
  Anaitwa Juma
  0712745164
   
 7. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Shukran, ntacheki nae.
   
Loading...