Waraka - nisaidiwe kwa hili!

Waraka - nisaidiwe kwa hili!

Joined
Sep 22, 2011
Posts
33
Reaction score
2
jaman nimesikia kuna walaka umeandikwa ukiwataka viongoz waliopo madarakani wajiuzuru.kama kuna anaeujua anitumie kwenye email yangu* obeidtheophil@yahoo.com
 
jaman nimesikia kuna walaka umeandikwa ukiwataka viongoz waliopo madarakani wajiuzuru.kama kuna anaeujua anitumie kwenye email yangu* obeidtheophil@yahoo.com

Muh. Unaulizia "walaka" au "waraka"? B care abt spell error! Only 1 letter may lead to change the meanin' targeted!
 
wakati wa uchaguzi kuna sms ilisambazwa ya uchochezi ikiwa na nanba za nje je mhusika alipatikana.wwaraka huo si siri watu wameusambaza na wameprint upo kila mahali hadi mama lishe wanafungia maandazi
 
jamani nimesikia kwamba kunawaraka umeandikwa ukiwataka viongoz waliopo madarakani wajiuzuru la sivyo!
 
a! Hebu nambie naupataje! Au ufoward kwenye email yangu obeidtheophil@yahoo.com
 
Back
Top Bottom