iphone 4 za kichina zina shida gani?

iphone 4 za kichina zina shida gani?

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Wakuu HNY! Jana nimekutana na mtu anauza iphone ambayo kwangu nikahisi ni ya kichina bei 200,000. Hivi hizi zina shida kwenye kuingia kwenye internet?browsing?,address book,sms, memory au basic functions kama za simu nyingine?za kawaida? Na je durability ni vipi?
Mnisamehe kama nimeileta thread hii hapa,maana wauzaji wako wengi naona wako hapa.
RE.
 
Back
Top Bottom