Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Corola limited inauzwa bei mil 3. Piga # 0788550005. Iko poa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nifundi alminium,natengeneza, madirisha, milango, pamoja na ainayote ya display showcas za madukani, na mahotelini.pia nina funga wollshelf za aina yote, kwenye salon za kike nazakiume. Nipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye pikipiki ambayo iko kwenye hali nzuri kwa ajili ya biashara naomba contact.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
HAYA TENA WANA JF KUNA NYUMBA INAUZWA SINZA KARIBU NA LION HOTEL IMEPAKANA NA BARABARA YA KWENDA KWA MWAIBULA. NI MAKAZI YA MTU, NA INA ENEO KUBWA PAMOJA NA MABANDA YA UWANI. INAFAA KWA LODGE AU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kipo kibaha mwembe saba kwa mathias 0.5km toka barabarani size nusu heka bei 6.5mil call 0716099463
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani natafuta vile vipikipiki vidogo a.k.a scooter coz trafic jam zimenichosha., mwenyekujua wanapo viuza na range ya bei zak naomba anijuze., thnks wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!!
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu kama unafaham mtu yeyote anapangisha nyumba hapa jijini Dar es Salaam naomba nipatie contacts.. nyumba inahitajika kwa ajili ya kupangisha..iwe ni kati ya Tsh150,000/- na Tsh 250,000/-...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
It is situated at Mbezi Beach in Kinondoni Municipality not very far under construction the new Bagamoyo Road. The House has 4 big bedroom, the far most big one is the master suite with which has...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kiwanja kizuri kabisa kina 2219sq mtr, bei yangu ni 4000 kwa sqmt moja, so ni 8,876,000. Nauza bei hii kwasababu nimeshakiendeleza, nimekisafisha vizuri, nimezungushia nguzo za zege kiwanja...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
mileage 64,000 km colour metallic blue 17' alloy rims imetumika mwezi mmoja tu Tanzania
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tafadhali kwa ambaye anafahamu, hivi Suzuki Escudo old model za miaka ya 199...katika showrooms za hapa bongo naweza kupata kwa bei gani? naombeni msaada wa mawazo pia kuhusu chaguo langu hilo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau TOYOTA Noah 2002 Model, MIllage 70,000 KM Mettalic , Ina chasiss number(Ishasajiliwa inasubiri number TRA) ndio imetoka bandarini. Bei 14Mill
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania..nimejaaliwa kuwa na kipaji cha utunzi na uandishi wa riwaya.. Hadi sasa nimeishatunga riwaya nne kali.. Bahati mbaya 2 kuna mtu alijitolea kunisaidia lakini baadae...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Dell Latitude E6400 Intel Core Duo 2.6GHz/4GB RAM/200GB Hard disk/BTooth/Loaded with all Microsoft basic software/Windows XP/Wndows 7/DVDRW/15" screen others -standard. 1 month warranty! email to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2003 Scania 124 420 Topline 6×2 Unit Truck, Opti Cruise, 600 Litre Fuel Tanks, Side Skirts 1 Yrs P.S.V Very Tidy Truck. Diesel Bei Maelewano ni PM.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Gari terios ya mwaka 2008 milango mitano inauzwa kwa mawasiliono zaid piga simu no 0713258615
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aina ya kinanda ninachohitaji ni yamaha kiwe kinatumia flash. lakini kisiwe yamaha 900s nitafute no.0763250220.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pole kaka!! lakini kwa ushauri tu!! gari nyingi za kisasa especially mercedes, zina driving computer!! kama gari ina tatizo dash board inasema service!! ukienda kwa fundi mwenye ujuzi computer...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza Acer Aspire 5741Z Laptop Tsh 750,000,nimetumia miezi 5 tuu toka inunuliwe dukani UK. Kwa anayehitaji nipigie/sms kupitia Tel 0786 585 490 Specs zake Product Type Notebook Hard Drive...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom