Nikipata hiyo dawa tunakua maarufu huku!.

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
379
40
habar zenu!.
Her ya mwaka huu 2012.
Nmeambiwa bongo inaongoza kwa dawa za kuongeza nguvu za uume....
Huku nchi nliopo wameanza kuulizia nchi gani zinapatikana...kumbuka jamaa huku wanahitaji za asili.
Hii ni big deal kwa yeyote ataeweza tuwasiliane nae!

Kumbuka naishi Canada.
 
Pweza na Hennessey! vyote vinapatikana Canada....
Halafu huko si kuna wachina kibao?
 
Nguvu alizo kumpa mungu zinatosha sana haina haja yakuongeza zingine zitakudhuru.

Mungu kakupa Akili, ukiweka kwenye akili yako wewe uko positive kwenye hilo jambo utakuwa positive tu, utumie dawa au usitumie.

Ukijiwekea akilini kwako wewe uko negative huwezi kitu basi utabakia hivyo hivyo, hakuna cha dawa wala mganga atakae kusaidia.

Wanao tumia dawa na wakafanikiwa ni wale wameisha jiwekea kwenye akili zao hawawezi bila dawa....Kila kitu hapo ni kutumia akili...Ingekuwa akili zao haziamini dawa haifanyi kazi basi hazitafanya kazi...Wataalamu wanasema; Psychological problem...DAWA NI AKILI YAKO MWENYEWE UNAVYO ITUMIA.
 
Mi niko tofauti kidogo! Ninatafuta ya kupunguza nguvu! Mara kwa mara nakimbiwa, mara nirudishiwe pesa huko uliko naweza pata dawa ?
 
Judgement kuna kitu utakuwa ulipandikiziwa wakati ukiwa mdogo au umechanjia dodoki sasa mambo yamekugeuka mwambie faiza foxy akusaidie kuzipunguza
 
Ushauri wa Bure.....wazingatie their daily diets....Otherwise kama ni spares tafuta watu wanaotokea huko mlimani LUSHOTO!!!
 
Nguvu alizo kumpa mungu zinatosha sana haina haja yakuongeza zingine zitakudhuru.

Mungu kakupa Akili, ukiweka kwenye akili yako wewe uko positive kwenye hilo jambo utakuwa positive tu, utumie dawa au usitumie.

Ukijiwekea akilini kwako wewe uko negative huwezi kitu basi utabakia hivyo hivyo, hakuna cha dawa wala mganga atakae kusaidia.

Wanao tumia dawa na wakafanikiwa ni wale wameisha jiwekea kwenye akili zao hawawezi bila dawa....Kila kitu hapo ni kutumia akili...Ingekuwa akili zao haziamini dawa haifanyi kazi basi hazitafanya kazi...Wataalamu wanasema; Psychological problem...DAWA NI AKILI YAKO MWENYEWE UNAVYO ITUMIA.
Hili halina ukweli.
Ukiwa mgonjwa mbona wahitaji dawa....!
Dawa iwe akil yako pia!
Naomba nisaidieni...hili muhimu sana jamani!
 
Ushauri wa Bure.....wazingatie their daily diets....Otherwise kama ni spares tafuta watu wanaotokea huko mlimani LUSHOTO!!!
Ngoja niku PM unipe full story.
Kama hizo za huko ni mujarab inatupa umaarufu huku!
Uliza vzuri na maelekezo yake ili tuanze taratib za hiyo kitu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom