OOps! Saidia Kitope Kuhesabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OOps! Saidia Kitope Kuhesabu!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitope, Jan 3, 2012.

 1. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimeweka mahesabu lakini hayaingii kichwani!
  haya naombeni saada sasa!
  Eka moja = sqm??
  na kama ni mraba Upana?? * Urefu??
  upimbi wangu unaniambia kuwa eka moja ina sqm 4000, this will give me 100*40=4000 at the same time nimesikia mtu anasema eka moja ni kama ifuatavyo miguu mia upana * miguu mia urefu :faint: lakini nikipiga ile kitu ya kubofya inanionyesha 100*100= 10,000 Correct but je is it true that eka moja = 10,000sqm?!?! nisome vizuri eka sio Hectar!!
  Naomba kujuzwa eka ikiwa na vipimo vya mraba upana ngapi urefu ngapi?? is it 4000sqm=eka as i always thought or 10,000sqm that i never knew!!
  Nb: Kitope+Mathematics= Disaster.. so take it easy on me!
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Simu yako haina converter?
  eka 1 ≈ mita za mraba 4046...
  Kimsingi kipimo cha hatua hakiko consistent.... yategemea na mpiga hatua...(ila hatua moja ni kama sentimita 90 hivi, kwa aina yetu ya upimaji)...haifiki mita 1.....
  Haya hebu kagua simu yako......
   
Loading...