Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

B Kubwa Production ina penda kuwatangazia kwamba inatafuta mabinti ambao watashiriki katika kushoot video mpya ya mziki ambayo inatarajiwa kutengenezwa hivi karibuni. contact :0718888840
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Seven Estate Agents inatangaza nafasi ya kazi, ofisi meneja. Sifa za mwombaji. 1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha. 2.Awe anajua kutumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wanaJamiiForums!Nahitaji kuchorewa na kutengenezewa ramani ya kijiografia (geographical map),ambayo itatumika kuelezea mahala (to describe geographical location).Kwa yeyote anaeweza kufanya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ipo maeneo ya samaki wabichi nyumba ya 3 kutoka new bagamoyo road. Ina letter of offer. Bei 120mil. kwa maelezo zaidi piga simu 0784225000
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu yangu anatafuta Honda CRV, bajeti yake ni 7M. Aliyenayo ikiwa kwenye hali nzuri na akaona offer hii inamfaa anitaarifu jamani.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
naitaji gari aina ya Toyota GR-Mark II kwa shughuli zangu za kawaida, yeyote mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani PM niko tayari kuinunua kwa bei isiyo zidi Tsh. milioni 3 ikawa ina hali...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
A very nice plot for sale at Kariakoo, The location is good for both Commercial building and Residential with Square meter 3400-312 along Swahili and Omari Londa Street (Form erly Somalia)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu mwenye cd au dvd mahsusi kwa kufundishia geomorphology ambazo zina animation anicall ili tufanye biashara. lakn pia kama una za geography out of geomorphology tujuzane wakuu. nigongee hapa...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Any one selling bold 9700 cover protector plz text me on 0759243224
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Brand new iphone 4s, white, 16GB, loaded with lots of application for sale, no time wasters, call 0783989530 joe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naitaji laptop mpya toshiba au hp i3
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Habari za wakati wadau.nauza samsung b5702 kwa shilingi laki 110000.nimetumia muda mfupi.inatumia lain 2.ni original.ina 1gb memory card.betry na chaja vipo safi.ukiipenda ni pm au andika hapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina nokia orijino 5130 expres music ina miez mitatu,vilevile nina sumsung rokea 5570 imedizainiwa china ila ina program zote za orijino ina internal memory 65mb,ina download application na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina vitabu viwili 1. Financial Accounting simplified a textbook 4 financial accounting papers of CPA, CPS, A.C.C.A, C.I.M.A, A.I.A, and I.C.S.A By N.A. Saleemi 2. Advanced Financial...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, natumai wote wazima. Naomba kama mtu ana fahamu namna ntakavyoweza kupata visa ya Indonesia, nimejaribu kucheki kwenye mtandao wanasema hawana embassy in Tanzania, so nitafute...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza shirt la ukweri sana,lipo kwenye hali nzuri sana..lina rangi ya pink,nyekundu kidogo kwenye ukosi na mikono ina rangi ya blue.. Nililinunua sikukuu ya xmas 2011,kwa sasa linanibana ndio...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
universal modem for only tsh 55,000/= call 0715 705050
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji kufanyia Services Gari aina ya Ford Galaxy, Tatizo ni kua nimekua nikitumia mafundi wa mtaani ambao naona kama wananiharibia tu gari. Please nisaidieni kama mnawafahamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji bb hizo hapo juu and iwe n good condition, my number is 0759243224
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei 500,000/= pm ukihitaji mzigo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…