Huduma za printing kwa bei nafuu

Huduma za printing kwa bei nafuu

Speedy Print

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
15
Reaction score
2
Habari wa kuu

nataka kuwaeleza wanaJF kuhusu huduma tunazozitoa.

Business Cards

Fliers

Brochures

wheelcovers

Delivery note

invoice book

receipt book.

na mengine mengi


tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n hata rangi mbili.

kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa kutuma ujumbe kwenye email yetu sales@speedyprint.co.tz - 0712 427 853

:: Welcome To Speedy Print
you think it , we ink it
 
  • Thanks
Reactions: BIR
tupo pale mtaa wa amani na sikukuu mtaa wa nyuma na Home Shopping Centre - Msimbazi
 
habari wanaJF. nataka kutoa taarifa kwamba mwishoni mwa mwezi hu wa november tunatarajia kuhamisha ofisi kwenda mtaa wa Sewa - mtaa unaoanza na msikiti wa NGAZIJA. nyuma ya mtaa wa hospital ya Hindu Mandal. wote mnakaribishwa kwa kazi zenu zote za printing.
 
Mbona hujasema bei nafuu ni bei gani?
 
Mkuu weka price list ili uwarahisishie wateja wako kuepukana na gharama za kukupigia simu au kutuma email.
 
business cards - 15,000 (pc 100, one side printing)
fliers A5 single side - 300
fliers A5 double side - 500
brochures A4 double side - 800
wheelcovers - 30,000
vitabu na vitu vingine bei zinatofautiana kwa idadi, size na rangi
 
Back
Top Bottom