Wadau , habari...
Nina friji langu la Boss linawaka lakini ndani hakuna ubaridi wowote hata ukiliwasha kwa masaa 48
*********nitafurahi kupata msaada wenu****************
Kampuni inajihusisha na uzalishaji wa pembejeo za kilimo navyakula vya mifugo, tunahitaji mtu wa mauzo kama unaweza kufanya kazi hiyo weka mawasiliano yako hapa
Habari zenu wakuu..
Viwanja vinauzwa ukubwa wa 60*50 bei mil 6.5 na eka moja bei mil 15 vipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road) ni kama mwendo wa nusu saa...
Manufactured in 1995,
CC 3298,
MAKE Eicher,
model: 10.70 truck
fuel used: Diesel.
inauzwa millioni 17. kwa mawasialino piga 0719 473879 au 0763 894508.
Viwanja mbezi msakuzi vinauzwa
mita 22*22 mil 3, 22*25 mil 3.5 and 26*40 mil 6
umeme upo na barabara nzuri mpaka viwanjani
(piga 0715055577 au 0769055577 kwa taarifa zaidi)
Nauza generator ndogo mpya , njoo uicheki , inafaa kusukuma maji, kuwasha umeme na matumizi yako mengine yoyote Mahali Popote, bei laki 2 na ishirini na 5 tu, nitafute,uje kwangu uicheki.
Generator kubwa zinauzwa..Specification: Rolls Royce model driven by Caterpilla engine,
output ni 180kva +20% made in UK.
zimetumika Uingereza 300 hrs.zInawafaa zaidi wenye mahitaji makubwa...
Nahitaji laptop mpya yenye specification zifuatazo, RAM 4Gb, HardDisk 500Gb, Screen 18" naomba mnifahamishe wapi ntapata dar, kama ntajua na bei itakuwa bomba zaidi.
Habari wana JF NATAFUTA PLAYSTATION 3.. Nipo dar mbenzi ya kimara mwenye nalo na anahitaji kuuza labda naomba anibp kwenye namba pale chini ... Au kama unajua duka zuli ambalo naweza kupata kwa...
Website ni nini?
Kwa lugha nyepesi website ni habari za mtu au kikundi cha watu ambazo ziko kwenye internet, habari izi zinaweza zikawa za aina yoyote ile kama maandishi, picha,sauti n.k
Habari...
lipo lugwagu km 7 kutoka barabara ya lami iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu. Unaweza kupitia ferry ambo ni km 20 kutoka kivukoni hadi kwenye junction ya kuingia shambani na km 4 kutoka...
Big house, 1 big master bedroom, 3 bedrooms, dinning, kitchen, store, nyumba ipo lenta, ina eneo kubwa 112M x 56M. Ukonga sitaki shari
35million ASAP,
Call. Capt. Halili 0715346208, 0784346208...