Jezi za Zamalek

Jezi za Zamalek

Huna jina la kibiashara wewe, wizi mtupu!
 
mtauziwa feki na mwenyewe anatumia id feki... acha kutapeli hizo jezi feki.
 
Zinapatikana wapi mkuu.

Mi ni shabiki mkubwa sana wa Zamalek.
sidhani kama ni kweli hapo kwenye wekundu wa msimbazi,wewe ni shabiki wa mnyama simba bana,si useme tu,na mtavua wenyewe hizo jezi zenu za Zamalek a.k.a. Simba
 
Majitu mengine sijui yamezaliwa wapi... kwa hali hii soka la bongo kwishney..... sasa unategemea nini watakapokuja kiyovu hapa?? wajinga ndio waliwao acha tuendelee kuushangaza ulimwengu in a long run tunajiumiza wenyewe kama nchi.
 
washabiki wote wa zamalek ni anti yanga kama mimi azam moko kesho sijui singo yenu yanga lini?
 
Majitu mengine sijui yamezaliwa wapi... kwa hali hii soka la bongo kwishney..... sasa unategemea nini watakapokuja kiyovu hapa?? wajinga ndio waliwao acha tuendelee kuushangaza ulimwengu in a long run tunajiumiza wenyewe kama nchi.
Kwani Yanga ni timu ya taifa? Mbona kuna wachezaji siyo raia wa Tanzania wanaichezea Yanga. MiYanga sijui imezaliwa wapi....
 
Mtaolewa na hao waarabu.

Zamalek na nyie wapi na wapi ??
Au ndio mabasha?

Nitawashangaa wanaume watakao vaa

Niliwauzia sana jezi za TP Mazembe, leo unageuka...acha bana...Yanga na Simba siyo timu za taifa.
 
tabia ya wa-tz kushangilia timu za wageni haitoisha kamwe!
 
Kama unahitaji jezi za Zamalek size yoyote ni PM

Zamelekh = Simba S. Club,
Sema Jezi zinapatikana wapi tukufuate, weka namba hadharani,
Huuzi Banghe au Gongo so haina haja ya kujificha kwenye PM mkuu!!
 
Mkuu nimekupm niwekee kama sita hita hivi M size na L size
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom