Msaada:SUZUKI CARRY

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
Wakuu nilikua naulizia kuhusu durability ya hizi gari ndogo za mizigo SUZUKI CARRY!zipo tofauti tofauti,ni zipi ambazo mashine haisumbui?zipo zenye 4WD,zenye nozzel,zenye injection,jamana mwenye uzoefu nazo hebu atumwagie hapa!

Nawasilisha wakuu
 
Mkuu kwa mafund wa kibongo wanazingua!nshaongea na mafund watatu kila mmoja anasema vyake!thts why natafuta humu jamvini kama kuna mtu anayemiliki hiyo aina ya gari ataleta practical view!

Uhauri huu utawasaidia na members wengine pia ambao wanahitaji kununua na kumiliki aina hii ya gari!
 
Nyingi zina matatizo ya ku overheat,mostly because ya failure kwenye waterpumps. Otherwise ni gari poa tu. Spares zake bei juu kidogo, you should also take note on that. Zenye carburator system, kwa mafuta yetu haya, make sure petrol filter unaweka ya high quality na unabadili mara kwa mara otherwise carburator lazma ikuzingue sana. Kila la kheri
 
Zote ni nzuri kwani mimi natumia za aina tofauti kwenye kampuni niliyopo na hazisumbui cha msingi ni kufanya service kila inapohitajika na ununuapo spea basi ziwe original.
 
Asante kwa taarifa mkuu!manake siku hizi pick up hazikamatiki!ngoja tusikilize comments za wadau wengine!

Bei milion 6 ni hapa bongo au ukiagiza?
 
Back
Top Bottom