msaada kwa anayejuwa

msaada kwa anayejuwa

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
Na2mia blackberry bold 9700 and bundle imeisha mdaa lakini na2mia internet bure bila kulipia,hii inakuwaje?
 
kama unatumia vodacom nenda kwe ofisi zao waambie tatizo lako....watafurahi sana kwa uaminifu wako!
 
Na2mia blackberry bold 9700 and bundle imeisha mdaa lakini na2mia internet bure bila kulipia,hii inakuwaje?

We ulikuwa unataka nini?

Yani unapata Internet bure wakati bundle imekata tayari
endelea kuchati tu!
 
Na2mia blackberry bold 9700 and bundle imeisha mdaa lakini na2mia internet bure bila kulipia,hii inakuwaje?

Jaribu kuchungulia propera shafti ya hiyo simu yako pengine imekatika ndio mana hilo tatizo limejitokeza.
 
Mi mbona bb yangu 9300 cjiungi na. Bbm bundle na net nakula kama kawa ni mwendo wa light day/wiki.. Tena inaaccess line zote. Though siwezi kutumia bbm n' bb fcbk.. Kula shangwe kakaa
 
hii inajitokeza sana na airtell,lkn itafika muda itakataa
 
Ndugu yangu sasa hapo wewe auibi wala kudhulumu ni wenyewe tu na setting zao pengine ni offer ya kimya kimya sasa ww untaka wakate!!! Ila Dhuluma ni haramu.
 
Back
Top Bottom