nauza shamba la eka kumi milion 60

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
lipo lugwagu km 7 kutoka barabara ya lami iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu. Unaweza kupitia ferry ambo ni km 20 kutoka kivukoni hadi kwenye junction ya kuingia shambani na km 4 kutoka kongowe pm kwa sereous buyer
 
eka moja milioni sita? Ndo unamaanisha hvi? Shamba lina nini sasa? Au shamba kavu tuu halina hata miti ndo unauza kwa bei hyo,toa maelezo kuna kajumba ka mfanyakazi labda,mabanda ya mifugo au nyasi tu ndo bei yote hiyo.
 
don mangi wewe ni mpayukaji c mnunuaji piga kimya. Wanunuzi wanapiga cm na wamekuja kuliona. Kama domo lako likanakuwasha subiri kesho uwanja wa taifa ukashangilie mpiri na c kudandia post zisizokuhusu. Nyambafu
 
Hahaaaaaa!
naona umekuwa mkali kwa jamaa kwa kuwa anataka kuharibu dili sio?!
 
kunta kinte hizo pipo nimezizoea na kifupi hawezi kuharibu hata kidogo b'se najiamini na ninachofanya na nimewauzia wengi
 
Shamba lina AC, unaweza kulima apples ukitaka. Uchokozi tu, lione!
eka moja milioni sita? Ndo unamaanisha hvi? Shamba lina nini sasa? Au shamba kavu tuu halina hata miti ndo unauza kwa bei hyo,toa maelezo kuna kajumba ka mfanyakazi labda,mabanda ya mifugo au nyasi tu ndo bei yote hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom