Elewa kuhusu website

Feb 3, 2012
13
0
Website ni nini?
Kwa lugha nyepesi website ni habari za mtu au kikundi cha watu ambazo ziko kwenye internet, habari izi zinaweza zikawa za aina yoyote ile kama maandishi, picha,sauti n.k
Habari izi hutumika kufikisha ujumbe fulan kwa jamii inayotumia internet au kuburudisha kwa malengo ya kibiashara au mengineyo.

Teknolojia hii hutumika sana na makampuni kujitangaza kwa kuweka habari zao kwenye website .
Aina za website
· personal website
· commercial website
· government website
· nonprofit organization website.

Kwanini unahitaji website?
Jiulize ukiwa unamwambia mtu kuhusu biashara yako au anakuuliza ofisi yako iko wapi wakati we hauna atakuhisije?

Website ni ofisi ya kisasa.

Wengi tumeanza kugundua kwamba uko tunakoenda website itakuwa ni kitu cha lazima kwa yoyote mwenye kufanya kitu kinachohitaji kujulikana

Wewe kama mfanyabiashara unahitaji website kuitangaza na kuimarisha biashara yako, kwa lugha nyingine tunaweza sema website ni ofisi ya kisasa, ukiwa na website kila mtu atapata habari zako popote pale alipo, pia itaongeza heshima na uaminifu kwenye biashara yako.

Sio lazima uwe na website lakini ni vizuri, ni vizuri kuwa na website kulingana na ukubwa wa biashara yako, kulingana pia na kipato cha biashara yako.

Nin ni vitu vya msingi kwenye website?
Kitu cha msingi kwenye website iweze ni kuonesha dhumuni la wewe kitengeneza.
Kwame usiwe na website ambayo haifanyi yote uliyotaka ifanye.

Website ni shilling ngapi?
Bei za website zinategemea na aina ya website unayohitaji, lakini unashauriwa kutengeneza website za kawaida tu mwanzoni, afu baada ya hapo utakuwa unifanyia mabadiliko(maintenance) kadri mahitaji yako yanavyobadilika au biashara yako inavyopanuka.

Mtengeneza website mzuri lazima kwanza akuulize unataka website ya aina gani kabla ya kukutajia bei.

Kama una maswali yoyote kuhusu website niPM or send email webdisgner255@gmail.comWebsite ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom