sina utaalam nayo ni machine ya kutengenezea hayo mawe, hiko Poland, inauzwa mil 60 Tsh, pamoja na kukusafirishia mpaka Dar, mwenye nayo kaniomba nimtafutie mnunuzi, kama utakuwa unaijua na kuna...
NINAUZA HIACE NISSAN QD CARAVAN KWA YEYOTE ANAYEHITAJI INA MWAKA MMOJA TU TOKA NIIAGIZE JAPAN BEI YAKE INAANZA NA M 13 MAELEWANO YAPO.KWA WALE WA ARUSHA INAPIGA TRIP ZA KWANGULELO NA TOWN KWA...
Nahitaji Toyota Vitz nina 5ml maongezi yapo mpaka gari niione,Namba kuanzia B...
Zinahitajika Land Rover Diffender Station Wagon 2 zilizo simama offer 30ml namba nazenyewe ziwe B
Mwenyekusikia...
Generator kubwa zinauzwa..Specification: Rolls Royce model driven by Caterpilla engine,
output ni 180kva +20% made in UK.
zimetumika Uingereza 300 hrs.zInawafaa zaidi wenye mahitaji makubwa kama...
Wana JF,
Wakuu, mwenye kuzijua hizi pikipiki tafadhali sana naihitaji hii pikipiki ya Bajaj Discover 150cc mpya au hata kama iliyotumika nikiridhika nayo tunamalizana.
Mwenye info...
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili limegawanywa katika maeneo madogo madogo kadiri ya mahitaji ya mtu kuanzia ukubwa wa 20 x 20. Maeneo hayo madogo madogo yamepimwa. Bei kuanzia 2.5mil kwa...
Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 hadi 30 ambaye hakutambuliwa jina lake, ameuawa kikatili na kisha kukatwa sehemu zake za siri na watu wasiojulikana.
Mwili wa mwanamke huyo...
Kwa wanaohitaji used l/cruiser parts like bullbars (ngao) milango, rear p/up bodies, seats, vioo, pumpers, ets all in good condition! Pia tuna baadhi ya parts za landrover 110 na aluminium body...
Wadau toyota starlet inahitajika haraka sana nipo DSM mwenye nayo anijulishe bajeti yangu ni 5m/= mob 0712 437 365.tuma meseji tuu utajibiwa kwa mwenye gari husika
asanteni
Wadau , habari...
Nina friji langu la Boss linawaka lakini ndani hakuna ubaridi wowote hata ukiliwasha kwa masaa 48
*********nitafurahi kupata msaada wenu****************
Kampuni inajihusisha na uzalishaji wa pembejeo za kilimo navyakula vya mifugo, tunahitaji mtu wa mauzo kama unaweza kufanya kazi hiyo weka mawasiliano yako hapa
Habari zenu wakuu..
Viwanja vinauzwa ukubwa wa 60*50 bei mil 6.5 na eka moja bei mil 15 vipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road) ni kama mwendo wa nusu saa...