Kiwanja kinauzwa - tegeta kwa makamba

Kiwanja kinauzwa - tegeta kwa makamba

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
2,094
Reaction score
1,376
Kiko jirani na kwa Makamba njia panda ya Wazo hill..hakijapimwa...but kiko documented vizuri...robo eka....bei ni 20 million pungufu unaongea...kwa mawasiliano zaidi piga 0715314911.
 
kuna majambazi huko balaaaaaaaaaa mbezi ya kimara cha mtoto...yani wakiamua wanavunjaga hata nyumba kumi kwa mpigo
 
Back
Top Bottom