blacberry storm 1 inauzwa

Blackberry stome one inauzwa kwabei poawa ipo moja tu. kwa mawasiliano piga namba. 0714486940.
Unanikumbusha radio za Panosoanic, watu walizinunua wakifikiri ni Panasonic. Tunazijua Blackberry Storm, sasa hii Blackberry Stome ni ya wapi?
 
Mkuu jitahidi uweke na bei kabisa, mambo yakutoa namba ya simu upigiwe ili utaje tu bei yameshapitwa na wakati.
 
teh teh teh teh teh hiyo utamuuzia labda mshamba aliyetoka leo MAGU wote tunajua kuwa blackberry storm ni BOMU na RESEARCH IN MOTION RIM -watengenezaji wa blackberry wenyewe wamethibitisha hilo na ndio maana hawatoi tena blackberry strom coz Canada, Australia, India , na Usa wamelalamika sana kuhusu hii product ....
anyway nisikukatishe tamaa majuha wapo wengi utampata tu wa kuingia kichwa kichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom