Ninahitaji

VENTURECACHER

Member
Oct 24, 2011
36
7
Ninahitaji vitabu vinavyo husu saikolojia vyenye lugha ya kiswahli na kingereza kama unavyo basi unaweza kunijulisha na bei zake.
 
Natamani ningekuwepo karibu nikuazime vyakwangu.

Nwy jaribu kuangalia kwenye maduka ya vitabu hapo ulipo, ukikosa niPM uniambie ni vitabu gani (majina au angalau approach uliyo interested nayo) alafu ntakutafutia.
 
Na kuhusu bei kwa mf ukinunua online bei ni kwanzia $3 kwenda juu alafu ongeza na shipping.
Mi nilipata kimoja kilichotumika (Health Psychology, just incase ni moja ya unavyotaka) kwa $25 pamoja na shipping, kwahiyo ukikosa karibu jiandae kulipa kidogo.
 
Back
Top Bottom