Magari Japan.

Magari Japan.

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,451
Reaction score
4,655
Hi,
Kuna Mdau yeyote amewahi kununua gari kwenye hawa jamaa wanaojiita magari Japan? They are listed in Trade car View.

Nimefanya enquiry nikapigiwa simu within one Minute and I became suspicious.

Natanguliza shukrani

Thanks again

Mlachake.
 
better be suspicious

japan sasa hivi makampuni mengi yapo kwenye financial crisis, hata yale ambayo ni reliable, usumbufu ni mkubwa sana sasa hivi na matapeli wamejipenyeza humo humo

tena makampuni mengi quotation zao zipo chini sana ku attract

be careful pal
 
Back
Top Bottom